Yohana 8:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alfajiri Yesu akaja tena Hekaluni, watu wengi wakakusanyika, akakaa akaanza kuwafundisha.