Yohana 8:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hata kama nikitoa hukumu, ita kuwa sahihi kabisa kwa sababu sitoi hukumu peke yangu; Baba ali yenituma yupo pamoja nami.