Yohana 8:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi mnatoa hukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu. Mimi simhukumu mtu ye yote.