Yohana 7:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi nendeni kwenye sikukuu, lakini mimi sitahudhuria sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.”