Yohana 7:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama Maandiko yasemavyo, ye yote aniaminiye, vijito vya maji yaletayo uzima vitatiririka kutoka moyoni mwake.”