Yohana 7:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mafarisayo waliposikia minong’ono hii, wao pamoja na makuhani wakuu, waliwatuma walinzi wa Hekalu waende kumkamata.