Yohana 7:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwani Musa hakuwapeni sheria? Mbona hakuna hata mmoja wenu anayetii sheria? Kwa nini mnataka kuniua?”