Yohana 6:64

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini baadhi yenu hamuamini.” Kwa maana Yesu alifahamu tangu mwanzo wale ambao hawangemwamini na yule ambaye angemsaliti.