Yohana 6:54

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu ye yote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.