Yohana 6:50

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni ambao mtu ye yote akiula, hatakufa.