Yohana 6:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama manabii walivyoandika, ‘Wote watafundishwa na Mungu.’ Ye yote amsikilizaye Baba na kuji funza kutoka kwake, huja kwangu.