Yohana 6:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mapenzi yake yeye aliyenituma ni haya: kwamba nisimpoteze hata mmoja wa wale alionipa bali niwafufue wote siku ya mwisho.