Yohana 6:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale wote ambao Baba amenipa watakuja kwangu na ye yote ajaye kwangu, sitamtupa nje kamwe.