Yohana 6:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawajibu, “Ni wazi kwamba ninyi hamnitafuti kwa kuwa mliona ishara na miujiza ninayofanya, isipo kuwa mnanitafuta kwa sababu mlikula mikate mkashiba.