Yohana 6:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akasema, “Waketisheni watu chini.” Zilikuwapo nyasi nyingi mahali hapo, kwa hiyo watu wapatao elfu tano wal iweza kukaa chini.