Yohana 5:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa kuwa Baba anampenda Mwana na anamwonyesha mambo yote afa nyayo; pia atamwonyesha hata mambo makubwa kuliko haya, ambayo yatawastaajabisha.