Yohana 5:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawajibu, “Ninawaambia hakika, Mwana hawezi kufa nya jambo lo lote mwenyewe isipokuwa lile alilomwona Baba yake akifanya; na lo lote alifanyalo Baba, Mwana pia hulifanya.