Yohana 4:50

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akamwambia, “Nenda nyumbani, mwanao ataishi.” Yule afisa akaamini maneno ya Yesu, akaondoka kurudi nyumbani.