Yohana 4:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akafika kwenye mji mmoja wa Samaria uitwao Sikari, karibu na lile shamba ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.