Yohana 4:42

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamwambia yule mama, sasa hatuamini tu kwa sababu ya yale uliyotuambia bali kwa kuwa tumem sikia sisi wenyewe, na tunajua hakika kwamba yeye ni Mwokozi wa ulimwengu.”

Yesu Amponya Mtoto Wa Afisa