Yohana 4:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuchota maji!”