Yohana 3:36

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ye yote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatauona uzima bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake daima.”