Yohana 3:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baadaye, Yesu alikwenda katika jimbo la Yudea pamoja na wanafunzi wake akakaa nao kwa muda na pia akabatiza watu.