Yohana 20:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alifanya ishara nyingine nyingi mbele za wanafunzi wake ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.