Yohana 20:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mariamu akakaa nje ya kaburi akilia. Na alipokuwa akilia akainama kutazama mle kaburini.