Yohana 2:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipokuwa Yerusalemu kwenye sikukuu ya Pasaka, watu wengi waliona ishara za ajabu alizokuwa akifanya, wakamwamini.