Yohana 18:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaambia, “Nimekwisha waeleza kuwa ni mimi; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi waachilieni hawa wengine waende.”