Yohana 18:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.” Yesu akawaambia, “Ni mimi.” Yuda ambaye alimsaliti alikuwa amesimama na wale askari.