Yohana 18:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mmoja wa wale walinzi akampiga Yesu kofi, kisha akasema, “Unathubutuje kumjibu kuhani mkuu hivyo?”