Yohana 18:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule msichana akamwuliza Petro, “Je, wewe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro aka jibu, “Hata! Mimi sio.”