Yohana 18:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako kwenye ala. Je, nisinywe kikombe cha mateso alichonipa Baba?”