Yohana 16:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na ninyi sasa mna huzuni lakini nitawaona tena na mtafurahi, wala hakuna atakayewaondolea furaha yenu.