Yohana 15:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni lo lote mtakalo nanyi mtatendewa.