Yohana 15:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi na kunyauka. Matawi hayo hukusanywa na kutupwa motoni, yakateketea.