Yohana 14:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika nyumba ya baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia makao.