Yohana 14:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia.