Yohana 14:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kitu cho chote mtakachoomba kwa jina langu, nitawafanyia, ili Baba yangu apate kutukuzwa kwa yale ambayo mimi Mwanae nitawafanyia.