Yohana 14:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninawaambia hakika, mtu ye yote akiniamini ataweza kufanya miujiza kama hii na hata zaidi, kwa kuwa mimi ninakwenda kwa Baba yangu.