Yohana 12:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawajibu, “Nuru yangu itawaangazia kwa muda mfupi. Tembeeni wakati nuru bado ipo nanyi msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui ana kokwenda.