Yohana 12:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamwambia, “Tumesoma katika Maandiko ya sheria kuwa Kristo anaishi milele na hatakufa. Mbona unasema lazima Mwana wa Adamu ainuliwe? Huyo Mwana wa Adamu ni nani?