Yohana 11:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wanafunzi wake wakam wambia, “Mwalimu, utakwendaje tena Yudea ambako siku chache tu zilizopita Wayahudi walitaka kukupiga mawe?”