Yohana 11:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipomwona Mariamu akilia na wale Wayahudi waliokuja naye pia wanalia, alifadhaika sana moyoni;