Yohana 11:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alikuwa amemaanisha kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa. Walidhani amesema Lazaro amelala usingizi.