Yohana 10:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kondoo hawam fuati mtu wasiyemfahamu bali humkimbia, kwa sababu hawatambui sauti ya mgeni.”