Yohana 10:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mlinzi humfungulia mlango na kondoo hutambua sauti yake. Yeye huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwaongoza nje ya zizi.