Yohana 10:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
nami ninawapa uzima wa milele. Hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka katika mikono yangu.