Yohana 10:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wayahudi wakamzunguka wakamwuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo utuambie wazi wazi.”