Yohana 10:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mimi ni Mchungaji Mwema. Mchungaji Mwema hutoa maisha yake kwa ajili ya kondoo.