Yohana 1:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akasema, “Huyu ni Mwisraeli halisi. Hana udanganyifu wo wote.”