Yohana 1:43

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akakutana na Filipo, akamwambia, “Nifuate.”